Catholic group Saccos Ltd
UPENDO
Ni Chama cha akiba na mikopo na kinahudumia Parokia zote za Dar e s Salaam na watu wote wenye kupenda maendeleo
Catholic group saccos
Upendo
Imeundwa na vikundi vya upendo group vinavyojishughulisha na biashara mbalimbali
Karibu ujiunge
Upendo Catholic Group Saccos Ltd
Karibu Upendo Catholic Group Saccos tunatoa mkopo wa Maendeleo, Mkopo wa elimu, mkopo wa dharura kwa riba nafuu.